Wednesday, August 11, 2010

THANKS TO GOD

Mosi nachukua fursa hii, kwa heshima na taadhima, kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa nafasi hii ya kufikiri na kuingia kwenye libeneke,
Pili nawashukuru sana waasisi wa nyanja hii ya mawasiliano hapa nyumbani na nje ya nchi ambao kwa namna moja ama nyingine wamenihamasisha kujumuika katika huu ulingo,
Tatu na mwisho nakushukuru sana mdau uliyeamua kupita kona hii na kunikuta ''mchaga mjanja'' nimepozi natafuta nitoke vipi.
Nawaomba ushirikiano wenu na maoni ili tusonge mbele katika kitu hichi tunachokipenda,

Regards,

Johns

No comments:

Post a Comment