Wednesday, August 11, 2010

JIWE


Huyu ndugu wakati wa uwindaji wake hukaa karibu na mawe. Unajua kila mnyama muwindaji hukaa karibu na maeneo ambayo hufanana nayo sana, ili hata muwindwaji asigundue kwamba kuna muwindaji.
Hata kwenye maisha mara nyingi uharibifu huwa karibu sana na vitu ambavyo sisi wenyewe hatuwezi kutarajia kama kuna hatari, mwishowe hatari inatupata. Ni vyema kutojitegemeza kwa mtu/vitu vya dunia.

Enjoy!

No comments:

Post a Comment