Wednesday, August 11, 2010

Mama sharubu


Kuna usemi ''eti'' ukikutana na simba jike, mara mia ungekutana na simba dume.Hakuachi!
Pia nasikia ''eti'' ukichemka ukakamatwa na polisi mwanamama, eehee!mara mia ungekamatwa na m-ume!
       Sijui kama kuna ukweli kwenye hili!
Enjoy

No comments:

Post a Comment