Wednesday, August 11, 2010

Ziara ya bloger wa bukoba Kamala


Mmoja kati ya manguli wa blogu Bw Kamala aka Baba Mwombeki alitutembelea jijini tangu Juzi.
Leo karejea Bukoba.


3 comments:

  1. karibu sana katika uwanja wa kublog. pia unakaribishwa Maisha na Mafanikio.

    ReplyDelete
  2. weweeeeeeeeeeeeeee, acha kabisa,kumbuka mimi mhaya mshamba!!!!!! teh teh teh

    ReplyDelete
  3. hahahha kwani mshamba ni nini?nadhani unamaanisha mjinga, ila nijuavyo wazungu wakija kwetu wanakua wajinga kwenye mambo yetu (huwa wananichekesha sana wakijaribu kucheza ngoma zetu) na sisi tukiwa kwao kuna mambo tunakua wajinga (naskia ukitua new york madereva tax wa hapo lazima watajua wewe mgeni - kushangaa magorofa)

    ReplyDelete