Wednesday, August 11, 2010

Maasai wa Ngorongoro


Mdau najua unajua ila nakukumbusha tu kwamba Ngorongoro ni ''conservation area'' na sio ''National PARK'' kwa hiyo ndani ya hifadhi hii wanyama aina ya binadamu wanaishi humo! Moja kati ya mambo ambayo hushangaza sana ni kwamba wanyama pori na wanadamu hapa hawawindani!it is so amazing!masai anapishana na sharubu(simba)!!though nasikia eti kuna kitu masai hupaka ndo wanyama hawawadhuru.Naomba kama kuna mdau mwenye information zaidi kuhusu hili atujuze.

No comments:

Post a Comment